Wednesday, June 11, 2014

Kufuatia tangazo la kazi lililotolewa na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji la tarehe 14 na 17 Februari, 2014 kwenye magazeti ya Habari Leo, Mtanzania na Daily news; kuhusu kujaza nafasi ya Mkaguzi Msaidizi wa Uhamiaji, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi anawatangazia kwamba haya ndio majina ya wanaoitwa kwenye Usaili yameorodheshwa. Usaili utafanyika tarehe 13 Juni, 2014, katika uwanja wa Taifa. Wasailiwa wote wafike saa moja na nusu asubuhi.

Majina ya walioitwa kwenye usaili

No comments:

Post a Comment