Wednesday, June 11, 2014

Kamishna mkuu wa idara ya uhamiaji anawatangazia kuitwa kwenye usaili kwa nafasi za konstebo wa uhamiaji na koplo wa uhamiaji usaili utafanyika kuanzia tarehe 09.06.2014 hadi tarehe 26.06.2014 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika ukumbi wa baraza la maaskofu (tec) kurasini barabara ya nelson mandela

KONSTEBO NA KOPLO WA UHAMIAJI

No comments:

Post a Comment