Wednesday, June 18, 2014

Uchaguzi wa wanafunzi wa kuingia Kidato cha Tano katika shule za Serikali na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2014 umekamilika. Uchaguzi umefanyika kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Nne Tanzania Bara mwaka 2013.

Wavulana angalia hapa chini

Boys_ Alphabetical List 2014

Wasichana angalia hapa chini

Girls_ Alphabetical List 2014

No comments:

Post a Comment