Monday, July 7, 2014

SABA SABA SPECIAL

Rais Kikwete akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa PPF wakati alipotembelea banda lao ndani ya ukumbi wa maonyesho sabasaba.

Rais Kikwete ndani ya picha ya pamoja na vijana wa skout,wanao imarisha ulinzi ndani ya ukumbi wa sabasaba.




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la chuo kikuu cha ardhi hapa amepozi na wafanyakazi wa chuo cha ardhi katika picha ya pamoja


Rais Mrisho Jakaya Kikwete akiwa kwenye banda la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

Rais Mrisho Jakaya Kikwete akisaini kwenye Daftari la wageni ndani ya banda la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). 

Rais Mrisho Jakaya Kikwete akiwa kwenye banda la TRA,hapa amepozi kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa mamlaka hio. 

Rais akiwa kwenye banda la Jeshi la Ulinzi la Wananchi  wa Tanzania (TPDF).

Rais akiwa kwenye banda la TTCL.

Muonekano wa nje  banda la NSSF.

Rais akiingia kwenye banda la NSSF.


Rais Mrisho Jakaya Kikwete akiwa amepozi picha ya pamoja na watoto wa Mkurugenzi mkuu wa NSSF, 
Dr. Ramadhan Dau

No comments:

Post a Comment