Tuesday, July 8, 2014

BYE BYE 7 SABA

Muonekano wa banda la benki kuu ya Tanzania (BOT)

Vijana wakipata maelezo toka kwa mmoja wa maofisa wa BOT

Maelekezo yakiendelea kwa wageni mbali mbali ndani ya banda hilo

Mofisa wa BOT wakitoa mafunzo kwa wageni mbali mbali jinsi ya kugundua noti fake za elf kumi.

Hapa maofisa wa benki kuu wakiwa kwenye idara ya kubadilisha noti chakavu.

Picha za fremu zikionyesha majina na sura za uongozi wa juu BOT

Maofisa wa BOT wakiendelea kutoa mafunzo kwa wageni mbali mbali juu ya shughuli zinazofanywa na benki kuu ya Tanzania

Hapa ni mapokezi, ukiwa mapokezi sura yako lazima iwe na furaha mda wote

Muonekano wa ndani ya banda la BOT

Wafanyakazi wa BOT wakipozi kwenye picha ya pamoja.

Msanii Mrisho mpoto akionyesha fomu ya kujiunga na PSPF

Mrisho mpoto akipongezana na maofisa wa PSPF baada ya kujiunga na mfuko huo wa pensheni.

Waziri wa ajira na kazi mh. Gaudesia kabaka akiwa kwenye banda la GEPF

Waziri wa ajira na kazi akipata maelezo toka kwa ofisa wa PSPF alipotembelea banda la lao.


Waziri wa ajira na kazi akisaini kwenye daftari la wageni ndani ya banda la GEPF

No comments:

Post a Comment